Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja,
amenaswa akiwa matiti nje baada ya kulewa mchana kweupe
na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati zito,
Varangati hilo lililonaswa na kachero wetu lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya
Sinza- Afrika Sana jijini Dar.
Katika sinema hiyo ya bure, mrembo huyo alishuhudiwa akipigana na
kila mtu aliyekutana naye mbele yake huku
↧