Polisi wa Tanzania walivunja zoezi la mafunzo ya
al-Shabaab katika mkoa wa Tanga, kuwakamata washukiwa 69 na kuwaachia
huru dazani za wafundishwaji wakiwa na umri wa miaka kati ya 4 hadi 13
katika usafishaji wa usalama uliofanyika tarehe 28 Oktoba hadi tarehe 5
Novemba.
"Hii imetushitua, tumeongeza usalama katika wilaya ya
Kilindi na tumewasambaza polisi jamii wa kutosha ambao
↧