Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo
inaanza kikao chake cha siku mbili ikitarajiwa kujadili masuala mazito,
hasa misukosuko iliyokikumba katika siku za karibuni.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Habari
na Uenezi wa Chadema, John Mnyika ilisema kikao hicho kitakachofanyika
Dar es Salaam kitapokea, kujadili na kufanya uamuzi wa masuala
mbalimbali
↧