Imebainika kwamba sababu ya shambulizi la risasi lililotokea
Ilala Bungoni, Dar es Salaam Jumanne iliyopita na kusababisha vifo vya
watu watatu, ni wivu wa mapenzi uliopindukia.
Akizungumza nyumbani kwao Ilala Bungoni jana,
mmoja wa majeruhi ambaye ndiye aliyekuwa kiini cha shambulizi hilo,
Christine Newa alisema si kweli kwamba sababu ya mchumba wake, Gabriel
Munisi kuwashambulia
↧