Suala la hatma ya Naibu Mkuu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe ndilo
lililotawala katika siku ya pili ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho
na kusababisha mvutano mkali miongoni mwa wajumbe.
Pamoja na ukweli kuwa kulikuwa na ajenda kadhaa
zilizokuwa zimepangwa kujadiliwa katika kikao hicho cha siku mbili
kilichofanyika Dar
↧