Ndugu Wananchi,
Taifa letu la Tanzania linapitia katika wakati wa upevukaji wa uhuru wa kusema kwa uwazi, pia Taifa letu linapitia katika harakati za demokrasia na maozezi ya deomkrasia.
Katika kipindi hiki tumeshuhudia mambo mengi yakitokea ikiwa ni pamoja na baadhi ya watu na taasisi zao kuutumia uhuru huu wa kusema vibaya kwa lengo la kutimiza malengo yao binafsi au kutimiza wajibu wa
↧