Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya
sekta nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na
iwapo watakiuka agizo hilo watakamatwa .Mmoja wa maafisa waandamizi wa
serikali ya nchi hiyo amesema.
Katibu wa Uwezeshaji Uchumi George Magosvongwe alitoa onyo hilo katika bunge la nchi hiyo, gazeti moja la serikali limesema.
↧