Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni utundu wake kitandani....
Akiongea na mwandishi wetu, Baby Madaha amedai kuwa tuhuma za kutumia dawa za kienyeji hata yeye amezisikia tu, lakini wote wanaomtuhumu hivyo ni kwamba
↧