Wanakijiji wa kijiji cha Nyamira wameamka na kukuta mwili wa
mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono
kwa kamba...
Mwili huo ambao unaonyesha kuwa ni wa mwanamke mwenye miaka kati ya 25
hadi 35 amekutwa umevaa jeans pamoja na blouse nyeusi na kutupwa pembeni
ya kijito cha maji mida ya saa 12 na nusu asubuhi.
Wanakijiji hao wamedai kushtushwa na
↧