Muigizaji wa filamu nchini, Jacky Wolper amesema pamoja na kuwa na uhusiano na mastaa wenzie akiwemo Diamond Platnumz, ni Ali Kiba ndiye aliyemtambulisha kwenye ulimwengu mtamu wa mapenzi.
Akiongea na Global Publishers, muigizaji huyo ambaye jina lake la utani ni Wolper Gambe alisema aliachana na Ali Kiba kwakuwa wanawake wengi walikuwa wakimtamani.
“Ni kitambo kidogo. Wote hatukuwa
↧