TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013
Jumatano, 27 Novemba 2013
Jana
katika taarifa kwa waandishi wa habari, Mhe. Tundu Lissu na Mhe. John
Mnyika waliudanganya umma kuhusu waraka unaohusu Mkakati wa Mabadiliko
2013. Katika maelezo yao waheshimiwa hawa, pamoja na mambo mengine,
walidai kuwa waraka uliosambazwa kwenye vyombo
↧