Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa
filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili
aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza kujichubua.
Chanzo kimoja makini
ambacho kipo karibu na Wema na ambacho pia ni star wa filamu kimetutonya kuwa Wema anajuta kujichubua na hajiamini tena katika urembo
tofauti na miaka ya nyuma kwani kila mtu sasa hivi
↧