Mwanamuziki
kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone akisaini mkataba wa wa kupiga
show jijini Mwanza itakayofanyika tarehe 24/12/2013 katika mkesha wa
kuikaribisha sikukuu ya Christmas kuanzia saa 12 jioni hadi majogoo,
tukio linalotazamiwa kufanyika katika ufukwe wa Charcoal Ribs Mwanza
----------------
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone anatarajia kuwaburudisha wakazi wa
↧