Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu
amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara
yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua
nyadhifa zote, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake wawili.
“Bahati nzuri wamevuliwa uongozi siyo uanachama,
binafsi nadhani viongozi wanatakiwa kutafakari na kudhibiti madhara
zaidi
↧