Mjane wa msanii wa filam nchini(Sajuki)
Wastara Sajuki, amefunguka tena kwamba hana mpango wa kuingia katika mahusiano
ya mapenzi kwa sasa. Wastara ametoa kauli hiyo kufuatia uvumi uliosambaa
kwamba star huyo wa filamu nchini anamahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake Bond
Bin Suleiman.
Wakati Wastara akitoa kauli hiyo, watu mbalimbali
akiwemo mwanamke aliyewahi kukimbia penzi
↧