AMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa
uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo,
Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri tena baada ya wahusika
hao wakuu kujiachia ‘live’.
KIMAHABA ZAIDIIshu hiyo ilitokea mapema wiki hii ambapo Chuchu
alitundika picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Ray chumbani
kimahaba.
Kufuatia
↧