Waandaji wa shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search,
wamesema mshindi wa mwaka huu ambaye ataibuka na kitita cha shilingi
milioni 50, atasimamiwa na uongozi wa shindano hilo ili kuhakikisha
fedha hizo zinatumika pia katika kuendelea maisha yake ya muziki na sio
kuzitumia kwa matakwa binafsi.
Mwanzilishi wa show hiyo ambaye pia ni jaji mkuu, Rita Paulsen aka
Madam Rita,
↧