Katibu
wa chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya,Bwa Bryson Mwasimba akionesha
kadi yake ya chama hicho na kuirejesha kwa chama cha CCM mara baada ya
kuachia ngazi kwenye mkutano wa hadhara uliofanywa na Katibu Mkuu wa
CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kata ya Lupa Tinga
Tinga,Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Ndugu Kinana na ujumbe wake yuko
mkoani Mbeya kwenye ziara kukagua
↧