Maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa
Ponda ya kuomba ufutiwa shtaka la kukiuka uamuzi wa mahakama, yamebaki
njiapanda baada ya Jamhuri kuyawekea pingamizi la kisheria, ikiiomba
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iyatupilie mbali.
Wakili Mkuu wa Serikali, Bernard Kongola alidai hayo jana mbele ya Jaji Rose Temba kabla ombi hilo halijaanza
↧