$ 0 0 Ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha imechomwa moto na watu wasiojulikana. Picha zilizopachkwa hapo chini zinaonesha sehemu ya tukio hilo huku polisi wakiendelea na uchunguzi wao <!-- adsense -->