Baada ya ngome kuu ya CHADEMA kupigwa kiberiti leo mchana, vijana wa Arusha wameamua kuingia studio na kurekodi wimbo wa Ushujaa wa Godless Lema....
Baadhi ya mashairi;
*Arusha ni nchi, na Lema ni Rais .
*Mkimuua Lema , lazima tuwape Mimba
*Lema ni sauti ya Arusha, ukiisikiliza lazima upate mzuka
Sikiliza track yenyewe hapo chini:
↧