Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya
mjini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni katika Uwanja wa
Rwanda Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa ni mkutano wa kuhitimisha
ziara yake katika mkoa huo, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua.
Katibu
NEC,Itikadi na
↧