Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amedai bungeni leo kwamba mshahara wake
hauzidi Shilingi za kitanzania Milioni SITA na akadai wanaodai analipwa
zaidi ya hapo ni wazushi wakubwa.
Pinda amemjibu Zitto Kabwe kwamba kwa kutaja uongo
kiasi cha mshahara wake, Mungu atamhukumu.
<!-- adsense -->