Siku 7 tu baada ya shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutangaza
kumalizika kwa mgao wa umeme wa siku kumi kwenye baadhi ya mikoa, Kaimu
Mkurugenzi mtendaji Tanesco Felchesmi Mramba amethibitisha kwamba
shirika lake linatarajia kufanya biashara ya kuuza umeme nje ya
Tanzania.
"Uwezekano wa kuuza umeme nje ya nchi upo, tunatarajia
mwaka 2016 ndio tutaanza kuuza maana kwa sasa ni
↧