Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma ametangaza mazishi ya Nelson
Mandela yatafanyika siku ya Jumapili, Desemba 15 mwaka huu kijijini
kwake Qunu, katika jimbo la Eastern Cape, Afrika Kusini.
Rais Zuma ametangaza siku 5 za maombolezo kitaifa na bendera
zitapeperushwa nusu mlingoti katika muda wote huo. Na ameitangaza siku
ya Jumapili ya Desemba 8, 2013 kuwa siku maalumu ya kitaifa ya
↧