Ni mastaa zaidi ya 10 wa Tanzania ambao wamezushiwa kifo ndani ya
mwaka 2013 na stori zote zikawa za uongo baadae, miongoni mwao ni
Mwasiti na Mr Blue.
December 10 2013 kuanzia saa nne usiku
taarifa zilezile za kuzushiwa kifo zimemuangukia mwigizaji mzee Small
ambae ni kweli kwa kipindi kirefu amekua akiugua.
Hii ni kauli ya msanii huyo baada ya kutembelewa na Millard Ayo
↧