KAULI iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye maadhimisho ya miaka 52
ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika juzi jijini Dar es Salaam, kwa
kuwataka watu wanaotaka uongozi kutokuwa na visasi imezua maswali kwa
baadhi ya wasomi na wanasiasa.
Hatua hiyo imekuja kutokana na hotuba yake aliyoitoa kwenye
maadhimisho hayo, Rais Kikwete bila ya kumtaja mtu wala chama,
aliwanyooshea
↧