Mbunge
wa Vunjo, Agustine Mrema (TLP), ameongoza maandamano ya amani wilayani
Moshi Vijijini kuishinikiza serikali kujenga vyoo na kupunguza kero za
wafanya biashara wa masoko yaliyopo wilayani humo.
Hatua hiyo imetokana na malalamiko ya wananchi kwa muda mrefu.
Mrema aliongoza maandamano hayo wiki iliyopita baada ya kuhutubia
mkutano katika kata ya Kruwa Vunjo Kusini ikiwa ni
↧