Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi lilisitisha shughuli zake na kutoa Azimio kutokana na kifo cha Mandela, kwa kumuenzi kwa kudumisha umoja, amani, mshikamano ili kuleta maendeleo.
Wakichangia Azimio hilo, wabunge wametaka kutokana na kifo cha mpigania uhuru huyo kujifunza kwa kutolipiza kisasi kwa kusameheana na kuvumiliana katika kila jambo, hususan suala la Katiba na
↧