Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa, amesema wanaodai asikanyage Kigoma Mjini wanapoteza muda
wao kwani hatishwi wala haogopi na hata ikitokea amepigwa risasi na
kufa Mwenyezi Mungu atakuwa ameridhia hivyo.
Ametoa msimamo huo jana wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Malumba Jimbo la Kasulu Mjini kwenye mkutano wa hadhara.
“Kama ni
↧