Watanzania mbalimbali wameisifia hotuba iliyotolewa na Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye siku hii ya
maziko ya Mzee Nelson Mandela Jumapili December 15 2013.....
Hotuba iko hapo chini, kama hukuisikiliza, basi bofya hapo ili ummwagie sifa Rais wetu kwa jinsi alivyotuwakilisha leo
↧