1. Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti.2.
Mimi binafsi nitapata heshima ya kushiriki kama kiongozi wa sekta
binafsi chini ya TPSF. Lakini limekuwepo tatizo la mambo yaliosemwa na
Mhe. Profesa Muhongo kunihusu ambayo ningependa niyafafanue ili
↧