Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza ndugu Clement Mabina ameuwawa
na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kisesa
jijini Mwanza...
Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao
na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama
alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda
kumhoji
↧