Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) inaonyesha
Watanzania milioni 4.2 wanaishi chini ya mstari wa umaskini kwa kupata
Sh886 kwa siku.
Ripoti hiyo inabainisha kuwa Watanzania hao ambao
wanaishi mijini na vijijini, wanapata Sh26,000 kwa mwezi, ambayo ni sawa
na Sh866 kwa siku.
Akizindua Toleo la Nne la Taarifa ya Hali ya
Uchumi nchini
↧