Ndugu zangu,
NOTHING can come from NOTHING. Wamesema hili Wanafalsafa wa Uyunani ya Kale .Nilimwona na kumsikiliza Rais wetu
Jakaya Kikwete akizungumza kwenye siku muhimu ya kumuaga kwa mara ya
mwisho Mzee wetu Nelson Mandela.
Muda wote wa hotuba yake, JK alibaki kwenye mstari kwa namna ile ile ya kuweka bayana kwa ulimwengu, kuwa ' msione vinaelea'.
Hakika alichofanya JK
↧