Mwishoni mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya
kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo
Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael
‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya
gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa
utata mkubwa.
Kwa mujibu wa habari hizo
↧