Muimbaji wa muziki wa injili nchini Rose Muhando hatimaye amevunja
ukimya kwa kuachia video chini ya label ya kimataifa inayomsimamia kwa
sasa Sony Music Africa.
Video ya Rose Muhando ‘Wololo’ pia imekuwa certified na mtandao wa video
za muziki wa Marekani VEVO. Video hii imepandishwa youtube December 13
kupitia channel ya RoseMuhandoVEVO.
↧