Wiki iliyopita, wanamuziki wa Kigoma All stars akiwemo Diamond
Platnumz na wengine walikuwa mjini Mombasa, Kenya kwenye show ya sehemu
ya ziara yao katika nchini za Afrika Mashariki.
Pamoja na kupiga show
kali, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kenya, Recho aliwatia aibu
kubwa wasanii wenzie wakati wakiongea na waandishi wa habari baada ya
show.
"Mwanamuziki wa Tanzania
↧