MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, amemvaa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na kusema kamwe
chama hicho hakiwezi kuvumilia usaliti wa aina yoyote.
Akizungumza mjini Mwanza jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika
Viwanja vya Malimbe, alisema kwa namna yoyote ile hawatamfumbia macho
mtu yeyote anayekwenda kinyume cha katiba na
↧