Msanii mkongwe wa mziki nchini Tanzania maarufu kwa jina la Mr. Nice amepata shavu jipya la kufanya filamu moja na kampuni ya VAD Film Production ambayo ni kampuni ya kiafrika maarufu kwa ajili ya waafrika wanaoishi nchini Denmark wakiwa
wamejikita katika utengenezaji wa filamu kwa kutumia Lugha ya Kiswahili...
Hapa akiwa na maojiano na dada
↧