MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman
Mbowe, leo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja
vya Malimbe, katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT),
jijini Mwanza.
Mkutano huo ni mwendelezo wa harakati za kujenga na kuimarisha chama,
ambapo Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa, Dk. Willibrod Slaa kwa sasa yupo
katika ziara
↧