Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza
kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo
Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa
Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo
maalum itaondoa mianya ya
↧