Mazishi ya Nelson Mandela
yanaendelea katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape na
kumaliza wiki moja ya maombolezi ya shujaa wa Afrika mwendazake Nelson
Mandela.
Takriban watu 4,500 wakiwemo wageni wa kimataifa
wanahudhuria mazishi hayo ambayo ni ya mchanganyiko wa tamaduni za kale
na mambo ya kisasa.
Familia ya Mandela ilikesha wakijiandaa kwa
mazishi ya leo huku
↧