Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43)
amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na
kumnyonga...
Tukio hilo la kutisha lilijiri usiku
wa Desemba 7, mwaka huu Chalinze Kwamwarabu ambapo mwanamke huyo
alikwenda kujumuika na ndugu na majirani katika mkesha wa ngoma ya
kuwatoa wari siku ya Jumapili.
↧