( Hii siyo picha ya tukio.Ni picha wakilishi tu ya mtandaon )
Habari na Joseph Ngilisho, Arusha --Kinara
sugu wa ubakaji ,Selemeni Said(30) mkazi wa Mbauda
jijini hapa,amenusulika kufa kwa kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira
kali baada ya kufumwa, akiwa na wenzake wakimbaka mwanafunzi wa kidato
cha pili na kumsababishia kupoteza fahamu.Saidi anayetajwa kuwa
mwenyekiti wa kundi la
↧