Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha Clouds FM chini ya bwana
Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa inamuhusu
mwanadada wa Bongo Movies na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D
'Young Dar es Salaam' kama mwenyewe anavyojiita baada ya wawili hao
kukutwa kwenye gari wakifanya lile tendo linaloruhusiwa kufanywa mara
baada ya mdada na mkaka kufunga ndoa.
↧