MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema atamjibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema juu ya kauli
aliyoisema bungeni kwamba mbunge huyo hana majina ya Watanzania
walioficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi. Zitto alisema kwa kuwa Jaji
Werema alimshambulia kupitia bunge naye atatoa majibu bungeni ili
ukweli uweze kujulikana.
Zitto alitoa kauli
↧