NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile
jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema
kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa imefikia
nchani....
Kwa mujibu wa chanzo makini, hali ya kifedha ya staa huyo si nzuri
kiasi kwamba kwa sasa amekuwa mtu wa kushinda ndani kwa kuwa hana mpunga
unaomuwezesha kwenda kujirusha
↧