Hivi sasa sio siri tena wala Baby Madaha hataki tena kupindisha
pindisha maneno kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na meneja wake wa Kenya
CEO wa Candy n Candy Joe Kariuki.
Msanii huyo filamu na muziki kutoka Tanzania Baby Joseph Madaha,
ameiambia Global kuwa mwanzoni yeye na Kariuki hawakuwa na
uhusiano wa kimapenzi zaidi ya kazi, ila kutokana na watu kuanza kuongea
kitu
↧