Rais Jakaya Mrisho
Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.
Evarist Ndikilo kufuatia vifo vya watu wawili vilivyotokea tarehe 15
Desemba, 2013 katika Kitongoji cha Kanyama Kata ya Kisesa Wilaya ya
Magu, Mkoani Mwanza.Rais ametuma salamu hizo kwa Mkuu wa Mkoa kufuatia vifo vya BW. Clement Mabina na Tenery Malimi vilivyotokea baada vurugu zilizosababishwa na
↧